
AZAM FC KAMA MANCHESTER UNITED YATOLEWA KOMBE LA FA
Azam FC imesukumizwa nje ya michuano ya kombe la Shirikisho la CRDB (kombe la FA 🇹🇿) kufuatia kipigo cha penalti 4-2 dhidi ya Mbeya City katika dimba la Azam Complex, Chamazi kwenye hatua ya 32 bora ya michuano hiyo. Mbeya City imetinga hatua ya 16 bora. FT: Azam FC 1-1 Mbeya City ⚽ 90+4’ Yahya…