AUCHO KUCHEZA SIMBA SC ISHU IPO HIVI

WAKATI akitajwa kuwa huenda anaweza kuwa nyeupe na nyekundu kiungo mkabaji Khalid Aucho inaelezwa kuwa mpango huo ni ngumu kukamilika. Tetesi zimekuwa zikieleza kuwa Simba SC inahitaji huduma ya Aucho ambaye mkataba wake umegota mwisho ndani ya Yanga SC msimu wa 2024/25. Kwa sasa ni mchezaji huru na amewashukuru Yanga SC na mashabiki kwa kuwa…

Read More

CHAMA AOMBA KURUDI BONGO

KUFUATIA ugumu wa maisha anaokutana nao katika timu ya RSB Berkane ya nchini Morocco, kiungo wa zamani wa Simba, raia wa Zambia, Clatous Chota Chama, sasa rasmi ameomba kurudi kwa mabosi wake wa zamani Simba. Chama aliachana na Simba, mwishoni mwa msimu ulipita akijiunga katika klabu ya RSB Berkane ya Morocco kwa mkataba wa miaka mitatu, akiwa sambamba na winga wa zamani wa Yanga, raia wa DR Congo, Tuisila…

Read More

SIMBA YAANZA KWA USHINDI DHIDI YA POWER DYNAMO

KATIKA kilele cha Simba Day Agosti 6 2023 maelfu ya mashabiki waliojitokeza Uwanja wa Mkapa wameshuhudia burudani kutoka kwa mastaa wao waliotambulishwa. Baada ya dakika 90 ubao umesoma Simba 2-0 Power Dynamo ukiwa ni mchezo wa kimataifa wa kirafiki. Mabao ya Simba yamefungwa na Willy Onana dakika ya nne na Fabrince Ngoma dakika ya 75…

Read More

MAMBO NI MOTO LEO, LALIGA, BUNDESLIGA NA EPL

Nafasi ya wewe kuondoka na zaidi ya Mamilioni ipo Meridianbet leo. Suka jamvi lako lenye ODDS za uhakika na uchague timu zako za ushindi hapa. LALIGA kuna mechi za kubashiri pia, Real Valladolid ambao ndio wa mwisho kwenye msimamo wa ligi, watakipiga dhidi ya Celta Vigo ambao wanashikilia nafasi ya 9. Mgeni pia ametoka kushinda,…

Read More

UNGANISHA MIGUU NA KICHWA CHA AJIBU ILI TUPATE MAJIBU

IBRAHIM Ajibu Migomba, sasa ametua Azam FC kwa mkataba wa mwaka mmoja akiandika rekodi ambayo wameiweka wachezaji wachache sana iwe kwa wazalendo au wa kigeni. Tayari sasa ameandika rekodi ya kuzichezea timu zote tatu kubwa za Dar es Salaam au Tanzania, nazungumzia Simba, Yanga na sasa Azam FC. Simba amekulia, amecheza au kukaa muda mrefu…

Read More

YANGA HAO AFRIKA KUSINI

UONGOZI wa Yanga umebainisha kwamba utakwenda Afrika Kusini kwa ajili ya mwendelezo wa maandalizi ya msimu wa 2024/25 wakiwa wamealikwa kutokana na thamani ya timu hiyo kupanda. Chini ya Kocha Mkuu Miguel Gamondi, Yanga msimu wa 2023/24 iliweka kambi Bongo na ikafanikiwa kutwaa taji la ligi ikimaliza msimu ikiwa na pointi 80 baada ya kucheza…

Read More

ORODHA YA VINARA KWENYE UTUPIAJI LIGI KUU BARA

KAZI bado inaendelea ndani ya Ligi Kuu Tanzania Bara ambayo ni namba nne kwa ubora kwa kila timu kupambania kufikia malengo kukamilisha mzunguko wa pili 2024/25. Katika eneo la ushambuliaji kuna orodha ya mastaa ambao ni wakali kwenye eneo la kucheka na nyavu waliopo kwenye vita ya kuwania tuzo ya kiatu cha ufungaji bora. Hapa…

Read More

MABAO SABA KUIKOSA TANZANIA PRISON LEO

WAKATI leo kikosi cha Yanga kinachonolewa na Kocha Mkuu, Nasreddine Nabi kikitarajiwa kucheza mchezo wa ligi dhidi ya Tanzania Prisons, Uwanja wa Nelson Mandela itakosa huduma ya nyota wake wanne ambao wamehusika kwenye jumla ya mabao saba. Yanga yenye pointi 20 ipo nafasi ya kwanza na safu yake ya ushambuliaji imefunga mabao 12 na ukuta…

Read More

MWANZO WA LIGI USHINDANI MUHIMU

KAZI imeanza kwenye anga la kitaifa na kimataifa kwa kila timu kuwa kwenye majukumu yao kutimiza kile ambacho ni muhimu uwanjani. Msimu mpya unakuwa na mengi mapya kuanzia ratiba pamoja na wachezaji kuwa katika presha ya kufanya vizuri zaidi kuongeza mwendo wa kuwa bora. Sio Namungo pekee wenye presha ya kufanya vizuri bali Singida Fountain…

Read More

TUNISIA SAFARI IMEWAKUTA LICHA YA KUSHINDA

LICHA ya timu ya taifa ya Tunisia kutoka Afrika kupata ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Ufaransa kwenye mchezo wa makundi Kombe la Dunia, Qatar 2022 safari yao imegota ukingoni. Mchezo huo uliokuwa na ushindani mkubwa, Ufaransa walianzisha wachezaji wake wengi nyota benchi kwa kuwa inaonekana kuwa mbinu ya benchi la ufundi ilikuwa ni kuwapumzisha…

Read More

SIMBA YAPIGA HESABU NDEFU KIMATAIFA

MWENYEKITI wa Simba, Murtanza Mangungu amesema kuwa kwa sasa mpango mkubwa ni kupata matokeo kwenye mechi zijazo hivyo masuala ya kufikiria nani atapata nini kwa sasa iwekwe kando na badala yake nguvu iwe kwenye kupata ushindi. Ikumbukwe kwamba Simba ipo kwenye kundi ambalo lina ushindani mkubwa kwa timu tatu kuwa kwenye ubora katika mechi za…

Read More