
SITA WACHAGULIWA KAMATI YA MASHINDANO YANGA
RAIS wa Klabu ya Yanga, Injinia Hersi Said ameteua Wajumbe wa Kamati ya Mashindano Yanga Injinia ameweza kuteua kamati hiyo kwa kushirikiana na Kamati ya Utendaji ili kuweza kuunda kamati hiyo maalumu. Ni wajumbe 6 wametangazwa leo Agosti 10.2022 kuweza kuwa katika kamati hiyo kutimiza majukumu yao. Ni pamoja na Mustapha Himba,Lucas Mashauri,Seif Ahmed,(Magari),Pelegrius Rutayunga,Davis…