
CHELSEA FULL SHANGWE NA KOMBE MKONONI
CHELSEA ni mwendo wa furaha baada ya ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Palmeiras kwenye fainali ya Klabu bingwa dunia na kutwaa ubingwa wa Kombe la Dunia kwa ngazi ya Klabu. Mabao ya Chelsea yalifungwa na Romelu Lukaku dakika ya 54 na lile la ushindi lilifungwa na Kai Havertz dakika ya 117 kwa mkwaju wa…