
MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA CHAMPIONI JUMATATU
MUONEKANO wa ukurasa wa mbele gazeti la Championi Jumatatu Februari 7,2022. Lipo mezani jipatie nakala yako 800
MUONEKANO wa ukurasa wa mbele gazeti la Championi Jumatatu Februari 7,2022. Lipo mezani jipatie nakala yako 800
SENEGAL ni mabingwa wa AFCON 2021 kwa ushindi wa penalti 4-2 baada ya dakika 120 kukamilika bila kufungana dhidi ya Misri kwenye bonge moja ya fainali. Mshindi alipatikana kwa mikwaju ya penalti ambapo ni Senegal walianza kupiga kupitia kwa Coulibary ambaye kufunga penalti hiyo ya kwanza. Coulibary alifunga penalti ya kwanza kwa Senegal na Zizou…
ZILIANZA kumeguka dakika 45 kwa miamba miwili Senegal v Mali kutofungana katika mchezo wa fainali ya AFCON 2021 nchini Cameroon. Katika dakika ya 2, Senegal walipata penalti ikapigwa na Sadio Mane na kipa wa Misri aliweza kuipangua baada ya kupewa maujuzi kutoka kwa Mohamed Salah. Zikameguka dakika 90 ngoma ikawa Senegal 0-0 Misri na hata…
CLATOUS Chama,mwamba wa Lusaka ametupia bao pekee la ushindi mbele ya Mbeya Kwanza katika mchezo wa Ligi Kuu Bara. Ni bao la kwanza kwa Chama akipachika bao hilo akitokea benchi alipokuwa akisoma mchezo. Ni dakika ya 85 mpira ulijazwa kimiani na kufanya mashabiki wa Simba kunyanyuka jukwaani. Unakuwa mchezo wa pili kwa Simba kushinda bao…
UWANJA wa Mkapa milango ni migumu kwelikweli kwa timu zote mbilo ndani ya dakika 45 kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara. Simba imekwama kuwatungua Mbeya Kwanza ambao nao wamekwama kumtungua Aishi Manula. Mtu wa kazi chafu Rolland Msonjo anatibua mipango ya Simba inayotengezezwa na Rally Bwalya. Licha ya washambuliaji wawili kuanza John Bocco na Meddie…
UONGOZI wa Azam FC umeweka wazi kuwa malengo yao makubwa msimu huu ni kuhakikisha wanashinda michezo mingi kadiri inavyowezekana ili kujiweka kwenye nafasi nzuri katika msimamo na kukata tiketi ya kucheza mashindano ya kimataifa msimu ujao. Azam ambayo ipo chini ya kocha Abdi Hamid Moallin, ipo nafasi ya tatu na pointi zake ni 24 kibindoni….
SHABAN Kazumba, Kocha Msaidizi wa Tanzania Prisons, amesema kuwa bao la penalti ambayo walipata Simba ni halali kwa kuwa ilitolewa na mwamuzi kutokana na makosa ambayo walifanya. Bao hilo lilifungwa na Meddie Kagere na lilionekana kuwa na utata kutokana na wachezaji wa Prisons kumfuata mwamuzi kulalamika juu ya penalti hiyo. Kazumba aliliambia Championi Jumamosi kuwa:-“Simba…
BAADA ya timu ya Taifa ya Wanawake ya Tanzania chini ya miaka 20, Tanzanite Queens kupoteza kwenye mchezo wa kuwania kufuzu tiketi ya kushiriki Kombe la Dunia kwa kufungwa mabao 2-0 dhidi ya Ethiopia hesabu zimehamia kwenye maandalizi ya U 17. Akizungumza na Spoti Xtra, Katibu Mkuu wa Shirikisho la Soka Tazania, (TFF)Wilfred Kidao alisema…
LIGI Kuu Tanzania Bara inaendelea kwa mara nyingine tena leo Februari 6 2022 ikiwa ni mzunguko wa 14. Timu tatu zitakuwa na kazi ya kusaka pointi tatu kwenye mechi ambazo watacheza katika uwanja Ni Geita Gold v Polisi Tanzania Uwanja wa Nyankumbu. Namungo v Mtibwa Sugar, Uwanja wa Majaliwa. Simba v Mbeya Kwanza, Uwanja wa…
PABLO Franco, Kocha Mkuu wa Simba ameweka wazi kuwa mbinu pekee ya timu hiyo kutwaa ubingwa msimu huu na kuwafunika wapinzani wao Yanga ni kushinda mechi ambazo watacheza. Simba ni mabingwa watetezi, wanapambana kufikia malengo yao wakiwa wamejichimbia nafasi ya pili na pointi 28 huku wakiwa wamepoteza mechi mbili kati ya 14. Pablo amesema kuwa…
LEO Jumapili michuano ya AFCON 2021 inatarajiwa kufika tamati baada ya kuchezwa kwa siku 28 kuanzia Januari 8,2022 huku wengi wakitarajia kuona mchezo mzuri ndani ya dakika 90 nchini Cameroon. Timu 24 zilianza hatua ya makundi hadi leo zimebaki mbili ambazo zitacheza fainali kusaka bingwa baada ya wenyeji Camroon kupata ushindi kwa penalti mbele ya…
MUONEKANO wa ukurasa wa mbele gazeti la Spoti Xtra Jumapili.
UWANJA wa Mkapa dakika 90 zimekamilika kwa timu zote kugawana pointi mojamoja kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara. Ubao umesoma Yanga 0-0 Mbeya City na kufanya Mbeya City wachezaji wa timu hiyo kushangilia. Yanga inafikisha pointi 36 kibindoni huku wakiwa hawajapoteza mchezo kwa msimu wa 2021/22.
TIMU ya taifa ya Wanawake chini ya miaka 20, Tanzanite Queens leo Februari 5 imerejea salama Tanzania ikitokea nchini Ethiopia ambapo ilikuwa na kazi ya kuipeperusha bendera kwenye mashindano ya kimataifa. Jana ilikuwa kwenye mchezo wa pili dhidi ya Ethiopia baada ya ule wa awali uliochezwa Uwanja wa Amaan ubao kusoma Tanzanite 1-0 Ethiopia na…
MUONEKANO wa ukurasa wa mbele gazeti la Championi Jumamosi
SIMBA imeweka wazi kuwa mara baada ya kiungo mshambuliaji wao, Peter Banda kurejea nchini akitokea Cameroon alipokuwa na kibarua cha kuiwakilisha Malawi kwenye mashindano ya Afcon, moja kwa moja atajiunga na programu za maandalizi ya michezo ijayo hususani mchezo wa Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya ASEC Mimosas ya Ivory Coast. Katika michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika, Simba imepangwa kwenye Kundi D pamoja na timu za…
SADIO Mane na Edouard Mendy wamesema kuwa Senegal wamepania kutwaa ubingwa wa Afcon 2021 ili kumpunguzia presha kocha wao Aliou Cisse. Senegal ambao walifika fainali katika Afcon iliyopita ya 2019 walikuwa miongoni mwa timu zilizopewa nafasi ya kuweza kufika fainali mwanzoni kabisa mwa mashindano haya. Ilishinda mechi ya kwanza kwa tabu dhidi ya Zimbabwe kisha…