
SALAH APANIA KULIPIZA KISASI KWA SENEGAL
MOHAMED Salah, staa wa timu ya taifa ya Misri amewasisitiza wachezaji wenzake kwamba watakwenda kulipiza kisasi mbele ya Senegal. Ikumbukwe kwamba Salah alikuwa kwenye kikosi cha Misri kilichotinga fainali ya Afcon 2021 na kupoteza kwa kufungwa kwa penalti 4-2 baada ya dakika 120 kumeguka mazima. Ni Sadio Mane wa Senegal ambaye alikosa penalti katika muda…