
YANGA 2-1 BIASHARA UNITED
MCHEZO wa Kombe la Shirikisho unaoendelea Uwanja wa Mkapa Yanga ipo mbele kwa mabao 2-1 dhidi ya Biashara United. Ni Yannick Bangala alipachika bao la kuongoza na lile la pili lilipachikwa na Fiston Mayele. Collins Opare alipachika bao kwa Biashara United wanajeshi wa mpakani.