
MO BADO YUPO SIMBA,ATINGA KAMBINI
RAIS wa Heshima ndani ya Klabu ya Simba, Mohamed Dewji amesema kuwa anaamini timu hiyo itafanya vizuri katika Kombe la Shirikisho kutokana na wachezaji kuwa tayari kwa ushindani. Februari 13,Simba itakuwa na kazi ya kusaka ushindi mbele ya ASEC Mimosas ya Ivory Coast mchezo unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa. Februari 9,Mo aliweza kuwatembelea wachezaji kambini…