
YANGA YATAJA KILICHOWAFELISHA KIMATAIFA MBELE YA AL HILAL
KOCHA Mkuu wa Yanga, Sead Ramovic amesema kuwa watafanyia kazi makosa yaliyotokea kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Al Hilal uliochezwa Uwanja wa Mkapa. Ikiwa ni mchezo wa kwanza kwa Ramovic kukaa benchi baada ya kurithi mikoba ya Miguel Gamondi alishuhudia ubao ukisoma Yanga 0-2 Yanga na mabao yote yakifungwa kipindi cha…