
ALI KAMWE AFICHUA HASIRA ZAO WATAMMALIZIA AL HILAL – ”TUNATAKA KUMTUMIA KAMA MFANO”…
Afisa Habari wa klabu ya Yanga SC Ally Kamwe ameeleza kuwa wanaendelea na maandalizi kwa ajili ya mchezo wao wa Klabu Bingwa dhidi ya Al Hilal FC ya Sudan.
Afisa Habari wa klabu ya Yanga SC Ally Kamwe ameeleza kuwa wanaendelea na maandalizi kwa ajili ya mchezo wao wa Klabu Bingwa dhidi ya Al Hilal FC ya Sudan.
Pep Guardiola amepoteza kwa mara ya tano mfululizo hii ikiwa ni kwa mara ya kwanza kama Kocha, baada ya Tottenham kuibuka na ushindi wa mabao 4-0 dhidi ya Manchester City kwenye Uwanja wa Etihad. FT: Man City 0-4 Tottenham Maddison (13’) Maddison (20’) Pedro Porro (52’) Brennan Johnson (90’+3’)
KWENYE eneo la makipa ndani ya kikosi cha Simba, kipa namba moja Mousa Camara amejenga utawala wake akiwa ni chaguo la kwanza la Kocha Mkuu, Fadlu Davids. Wakati Simba ikicheza mchezo wa 11 dhidi ya Pamba Jiji, Novemba 22 2024 Uwanja wa Kirumba, Mwanza alianza kikosi cha kwanza. Unakuwa ni mchezo wa 11 wa NBC…
TIMU ya mpira wa kikapu ya Wanawake, Fox Divaz kutoka Mara, imetwaa ubingwa wa Tanzania betPawa NBL, baada ya kuibuka na ushindi dhidi ya BD Lioness ya Dar. Katika mchezo uliofanyika kwenye viwanja vya Chinangali, Dodoma, Fox Divaz waliibuka na ushindi wa pointi 67-54 dhidi ya BD Lioness na kutwaa ubingwa huo kwa mara ya…
UONGOZI wa Yanga umebainisha kuwa kocha mpya wa timu hiyo raia wa Ujerumani amekuja na aina mpya ya kucheza inayokwenda kwa jina la gusa achia twende kwao. Ni Sead Ramovic huyu ni mrithi wa mikoba ya Miguel Gamondi ambaye kwenye Ligi Kuu Bara aliongoza kikosi kwenye mechi 10 msimu wa 2024/25, ushindi mechi 8 na…
FAINALI ya Wanawake mashindano ya Klabu bingwa ya mpira wa kikapu nchini “betPawa NBL” itafanyika Jumatano Novemba 20, 2024 kwa mechi ya DB Lioness na Fox Divers Uwanja wa Chinangali, mkoani Dodoma. Fainali hiyo imepangwa kuanza saa 12.00 jioni inatarajiwa kuwa na upinzani mkali kutoka kwa wachezaji wa timu zote mbili. Fox Divaz wamefuzu hatua…
Leo ni wewe tuu ushindwe kuondoka na mapene ya maana ukitulia na kusuka jamvi lako la uhakika. Odds kubwa na machaguo zaidi ya 1000 yapo hapa. Ligi kuu ya Italia SERIE kuendelea leo ambapo mechi ya mapema kabisa ni hii ya Hellas Verona dhidi ya Inter Milan ambao wanahitaki ushindi ili wake kileleni. Mara ya…
Ligi Kuu ya Tanzania Bara inaendelea tena leo Jumamosi, Novemba 23, 2024, ambapo Matajiri wa Chamazi, Azam FC, watakuwa nyumbani kuwakaribisha Wanankurukumbi, Kagera Sugar, katika Uwanja wao wa Chamazi Complex. Mchezo wa Azam FC dhidi ya Kagera Sugar utapigwa saa 1:00 usiku. Michezo mingine ya Ligi Kuu Tanzania Bara itakayopigwa leo: • Saa 8:00 mchana,…
Alama tatu muhimu kwa Wekundu wa Msimbazi, Simba Sc wakifikisha pointi 28 na kuendelea kujichimbia zaidi kileleni mwa msimamo wa Ligi Kuu bara. FT: Pamba Jiji Fc 0-1 Simba Sc ⚽ 22’ Ateba
Wakali wa ubashiri Tanzania Meridianbet wanakwambia hivi siku ya leo unaweza kuondoka ukifurahia maokoto ya maana kwani ligi mbalimbali zimerejea. Tandika jamvi lako sasa. Tengeneza jamvi lako na mechi za LIGUE 1 ambapo PSG atamkaribisha kwake Toulouse ambao wapo nafasi ya 10 wakiwa na pointi zao 15, huku mara ya mwisho kukutana Paris alipoteza. Ikumbukwe…
Mchezo wa kasino unaobamba kwasasa na kumwaga mihelaa ni Black Gold kutoka pale Meridianbet, Cheza mchezo huu leo uweze kua moja ya washindi wapya wanaoiubuka kila siku kupitia mchezo huu wa kasino. Black Gold ni sloti ya kasino mtandaoni kutoka BetSoft. Kuna aina kadhaa za bonasi katika mchezo huu uliopo Meridianbet. Kuna mizunguko ya bure…
KUTOKA kundi H, timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars inayonolewa na Kocha Mkuu, Hemed Morocco imekata tiketi kufuzu AFCON 2025 kwa ushindi dhidi ya Guinea. Baada ya dakika 90 ubao wa Uwanja wa Mkapa umesoma Tanzania 1-0 Guinea ambapo katika dakika za lala salama Guinea walikuwa wanatafuta pointi moja kwa kutaka kumtungua Air Manula…
FT: UWANJA: Mkapa Kuwania Kufuzu AFCON 2025 Tanzania 1-0 Guinea Goal Simon Msuva dakika ya 62 Timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars inayofundishwa na Hemed Morocco ina kibarua cha kusaka ushindi dhidi ya timu ya taifa ya Guine kwenye mchezo wa kuwania kufuzu AFCON 2025 Uwanja wa Mkapa. Nyota Simon Msuva ambaye alifunga bao…
Kikosi cha ‘Stars’ kinachoanza dhidi ya Guinea kwenye mchezo wa mwisho wa Kundi H wa kuwania kufuzu kombe la Mataifa Afrika AFCON 2025 katika dimba la Benjamin Mkapa. Kocha Hemed Suleiman ‘Morocco’ amefanya badiliko moja kutoka kikosi kilichowanyoa Ethiopia huku kiungo Adolf Mtasingwa Bitegeko akichukua nafasi ya Novatus Dismans Miroshi ambaye anakosekana kwenye mchezo huo…
Endelea kubashiri leo hii mechi za mataifa mbalimbali zinazoendelea hapa ndani ya Meridianbet huku ukiwa tayari umewekewa machaguo kibao uyapendayo. Mechi za UEFA NATIONS LEAGUE kule Ulaya kuendelea leo ambapo Hungary baada ya kupigika mechi yake iliyopita, leo hii atakiwasha dhidi ya Germany ambao ndi vinara wa kundi hilo. Mwenyeji anaingia kwenye mchezo huu akikumbuka…
Jeshi la polisi jijini limethibisha kuwakamata watuhumiwa wawili Diva Gissele Malinzi (Diva the Bawse) pamoja na Jenifer Bilikwija (Niffer) kufuatia tuhuma za kukusanya pesa kinyume na Sheria.
NDANI ya Ligi Kuu Tanzania Bara msimu wa 2024/25 ushindani ni mkubwa ambapo kila timu inapambana kufanya kweli ndani ya uwanja kwenye mechi za ushindani. Vinara wa ligi ni Simba chini ya Kocha Mkuu, Fadlu Davids imekuwa na mwendo wake ambapo kwenye mechi 10 imepoteza mchezo mmoja dhidi ya Yanga. Kuna Fountain Gate hii imekuwa…