ARSENAL WAIBOMOA CHELSEA STAMFORD BRIDGE

WAKIWA ndani ya Uwanja wa Stamford Bridge mbele ya mashabiki 32,249 Arsenal wamegoma kuchana mkeka na badala yake wameishushia kichapo Chelsea ikiwa nyumbani. Baada ya dk 90 ubao ulisoma Chelsea 2-4 Arsenal katika mchezo wa Ligi Kuu England uliokuwa ni wa kukata na shoka. Mabao ya wenyeji Chelsea yalifungwa na Timo Werner dk 17 na…

Read More

YANGA KURUDI DAR NA FURUSHI LA POINTI

BAADA ya kikosi cha Yanga kusepa na pointi tatu mazima mbele ya Geita Gold Machi 6,2022 leo wanarejea Dar kikiwa na furushi la pointi kibindoni. Bao pekee la ushindi lilijazwa kimiani na Fiston Mayele dakika ya 1 na lilidumu mpaka kipyenga cha mwisho. Ushindi huo unaifanya Yanga iridium kujenga ngome kileleni ikiwa na pointi 45…

Read More

YANGA WAMEANZA BALAA LAO HUKO

YANGA wameanza 2024/25 kwa kutwaa taji la Ngao ya Jamii baada ya ushindi wa mabao 4-1 dhidi ya Azam FC katika mchezo wa fainali uliochezwa Uwanja wa Mkapa Agosti 11 2024 ikiwa ni balaa lao kwenye kutwaa mataji yanayokuwa mbele yao. Katika fainali ambayo ilianza kwa kasi kubwa ni mabao matano yamefungwa kwenye fainali huku…

Read More

KISA PIRA PAPATUPAPATU, SIMBA YABADILI GIA

UONGOZI wa Simba umeweka wazi kuwa utarejea ukiwa imara zaidi na mwendo mwingine kwenye mashindano ya Ligi ya Mabingwa Afrika baada ya kutinga hatua ya makundi. Ikumbukwe kwamba Simba ilifanikiwa mpango kazi kutinga hatua ya makundi kwa faida ya mabao ya ugenini dhidi ya Power Dynamos kwenye mchezo wa kwanza ubao uliposoma Power Dynamos 2-2…

Read More

MTIBWA SUGAR WAIVURUGIA SINGIDA FOUNTAIN GATE

MTIBWA Sugar wamesepa na point8 tatu mazima dhidi ya Singida Fountain Gate, ubao wa Uwanja wa CCM Kirumba ulisoma Singida Fountain Gate 0-2 Mtibwa Sugar. Ushindi wa Mtibwa Sugar umevuruga mipango ya Singida Fountain Gate kukomba pointi tatu kwenye mchezo huo. Abdul Hilary dakika ya 70 kwa mkwaju wa penàlti na Omary Marungu dakika ya…

Read More

SIMBA 4-0 TEMBO RAUNDI YA PILI

KIPINDI cha pili Simba imefunga mabao mawili na kukamilisha dakika 90 kwa ushindi wa mabao 4-0. Mabao ya kipindi cha pili yamefugwa na Karabaka pamoja na Jobe ambapo wote walitokea benchi kwenye mchezo wa leo. UBAO wa Uwanja wa Azam Complex mchezo wa raundi ya pili Kombe la Azam Sports Federation mshambuliaji mpya wa Simba…

Read More

NAMUNGO FC KAMILI KUWAKABILI YANGA SC

BAADA ya kupoteza mchezo wa mzunguko wa kwanza kwenye Ligi Kuu Bara ambayo ni namba nne kwa ubora uliochezwa Novemba 30 2024 ubao wa Uwanja wa Majaliwa ukasoma Namungo 0-2 Yanga SC, Namungo FC wameweka wazi kuwa watawakabili wapinzani wao kwa mbinu tofauti kupata matokeo chanya, Mei 13 2025, Namungo FC inatarajiwa kushuka Uwanja wa…

Read More

KANOUTE LAZIMA ABADILIKE,ANAIGHARIMU TIMU

KIUNGO Sadio Kanoute ni lazima abadili uchezaji wake kwenye kutimiza majukumu yake anaigharimu timu, anagharimu afya za wachezaji wake. Ni mchezaji mzuri anafanya kazi ngumu na inayoonekana lakini lazima aongeze umakini kwenye kutimiza majukumu yake. Kuna mikato yake mingine ni hatari kwa usalama wa wachezaji na kadi za njano ambazo anapewa zinaigharimu timu yake. Benchi…

Read More

SIMBA KAMILI KUIVAA KMC

SELAMAN Matola, Kocha Msaidizi wa Simba amesema kuwa wapo tayari kwa ajili ya mchezo wa kesho dhidi ya KMC unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa. Simba imetoka kushinda mabao 3-0 dhidi ya Mbeya City kwenye mchezo uliochezwa Uwanja wa Mkapa. Matola amesema:”Mchezo wetu tunajua kwamba utakuwa mgumu lakini tupo tayari kwa ajili ya kuweza kuona tunapata…

Read More

SIMBA YAKWEA PIPA KUELEKEA AFRIKA KUSINI

KIKOSI cha Simba chini ya Kocha Mkuu, Fadlu Davids mapema Aprili 23 2025 kimekwea pipa kuelekea Afrika Kusini kwa ajili ya mchezo wa Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Stellenbosch FC unaotarajiwa kuchezwa Aprili 27 2025. Ipo wazi kwamba kwenye mchezo wa kwanza uliochezwa Uwanja wa Amaan, baada ya dakika 90 ubao ulisoma Simba 1-0…

Read More

AZAM FC NA MWENDO WAO ULEULE

MSIMU huu pia haujawa mzuri kwa Azam FC ambayo kila wakati huwa inaanza kwa kuleta ushindani mkubwa. Mateso makubwa ambayo huwa wanapitia kwenye mechi za ugenini bado hawajapata majibu yake hivyo wana kazi ya kuboresha zaidi ili wakati ujao kuwa imara. Miongoni mwa sababu ambazo zimekuwa zikiwapa ugumu Azam FC ni pamoja na kushindwa kutumia…

Read More

YANGA YALIPA KISASI MBELE YA TABORA UNITED

MABINGWA watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Yanga chini ya Kocha Mkuu, Miloud Hamdi wamevuna pointi tatu ugenini kwenye mchezo dhidi ya Tabora United ikiwa ni mchezo wa mzunguko wa pili msimu wa 2024/25. Kwenye mchezo wa mzunguko wa kwanza uliochezwa Uwanja wa Azam Complex, Novemba 7 2024 ubao ulisoma Yanga 1-3 Tabora United ambao…

Read More

Nusu Fainali ya UEFA Kitawaka leo; Bayern vs Real Madrid na Arsenal vs Sporting Pesa Ziko Hapa

Nusu Fainali hiyo inanukia leo kwenye michuano ya Ligi ya Mabingwa Ulaya. Timu mbili zenye majina makubwa Duniani zinatarajia kuvaana haswa kutafuta nafasi ya kwenda hatua nyingine. Je nani unampa nafasi ya ushindi leo? Kwenye mechi ya mkondo wa kwanza kule Santiago Bernabeu Bayern walishinda 2-1 wakiwa wamecheza mchezo mzuri kabisa ambapo kama wangekuwa wametumia…

Read More

ISHU YA MAYELE KUSEPA YANGA YAFAFANULIWA

UONGOZI wa Yanga umefunguka ishu ya mshambuliaji wao wa kati kipenzi cha mashabiki, Fiston Mayele kuhusishwa kujiunga na Kaizer Chiefs ya Afrika Kusini. Yanga wametoa tamko rasmi kuwa mzee huyo wa kutetema hataondoka kutokana na kuwa na mkataba wa kuendelea kukipiga ndani ya klabu hiyo. Mayele kwa sasa ndiye mshambuliaji tegemeo wa Yanga akiwa ndiye…

Read More