PIGA MKWANJA KUPITIA UEFA CHAMPIONS LEAGUE NA EPL LEO

Ligi ya mabingwa barani ulaya kama kawaida imekua ni michezo ya neema kwa wapenzi wa ubashiri, Kwani watu wamekua wakinyakua mikwanja ya kutosha kupitia michezo hii lakini utapigwa mchezo mmoja mkali wa ligi kuu ya Uingereza leo. Michezo ambayo inakwenda kuchezwa leo ina asilimia kubwa kukuacha milionea kwani michezo ya ligi ya mabingwa barani ulaya…

Read More

ZIDANE: NINAAMBIWA MUDA WANGU BADO

ZIDANE Sereri nyota wa Azam FC ameweka wazi kuwa kuna dhana ya kukatishana tamaa kwenye masuala ya upambanaji jambo ambalo linasababisha wengi kukwama kufikia malengo yao. Nyota huyo atakumbukwa na kipa Moussa Camara wa Simba kwenye Mzizima Dabi alimtungua bao la jioni akiwa ndani ya 18 mwisho ubao ukasoma Simba 2-2 Azam FC na alichaguliwa…

Read More

VAA TAJI NA USHINDE KITITA LEO

Kupitia mchezo wa 20 Imperial Crown unakuvalisha taji lakini haishii hapo kwani pia unaweza kujishindia kitita kikubwa kupitia mchezo huu wa kasino, Kwani mchezo huu umekua moja ya michezp pendwa ya kasino na watu wamekua wajishindia vitita vikubwa. 20 Imperial Crown Deluxe Sifa Zake 20 Imperial Crown Deluxe kasino mtandaoni wenye safu tano zilizopangwa katika…

Read More

KINYAGO WA SIMBA: TUTAFANYA KWELI UWANJA WA MKAPA

BAADA ya kupoteza kwenye mchezo wa Kombe la Shirikisho Afrika wa hatua ya robo fainali ya kwanza, Uwanja wa Suez Canal, Misri, shabiki wa Simba maarufu kwa jina la Kinyago wa Simba wa Tabata amebainisha kuwa wanaamini mchezo wao ujao dhidi ya Al Masry, Uwanja wa Mkapa watafanya kweli na kutinga hatua ya nusu fainali….

Read More

SIMBA USAJILI WAO TAMBO ZATAWALA

AHMED Ally, Meneja wa Idara ya Habari na Mawasiliano ameweka wazi kuwa usajili wao mpya wa Ellie Mpanzu umejibu kwa haraka licha ya kuwa na mchezo mmoja wa ushindani. Nyota huyo mchezo wake wa kwanza ilikuwa dhidi ya Kagera Sugar ambapo kwenye mchezo huo alikomba daika 57 alikuwa na uwezo wa kupiga mashuti ya mbali…

Read More

KOCHA WA MAKIPA AIPA MKONO WA KWAHERI SIMBA

Aliyekuwa kocha wa makipa wa Simba, Daniel Cadena ameipa mkono wa kwaheri klabu hiyo huku akieleza kuwa ulikuwa ni wakati mzuri kuhudumu ndani ya viunga vya Wekundu hao wa Msimbazi. “Siku kama ya leo Julai 6, 2023, nilifika nyumbani kwa SIMBA SC na kupokelewa kwa furaha. Leo, Julai 6, 2024, kwa sababu za kitaaluma, ninaondoka…

Read More

NEYMAR AREJEA, BRAZIL WAPETA

NEYMAR Jr amerejea kwenye kikosi cha timu ya Taifa ya Brazil na zali la ushindi wa mabao 4-1 dhidi ya Korea Kusini jambo ambalo limewaondolea hofu mashabiki wa timu hiyo ya taifa ambapo walikuwa wanadhani nyota huyo hatakuwa kwenye mechi zilizobaki baada ya kuumia. Ushindi huo unawafanya Brazil kutinga hatua ya Robo Fainali Kombe la…

Read More

SINGIDA FOUNTAIN GATE WAPETA UGENINI

SINGIDA Fountain Gate imefanikiwa malengo ya kusaka pointi tatu kwa msimu wa 2023/24 ikiwa Uwanja wa Manungu. Katika mchezo wa ligi uliochezwa Uwanja wa Manungu dakika 90 zilikuwa upande wa Singida Fountain Gate waliopata ushindi. Dakika 90 ubao umesoma Mtibwa Sugar 0-1 Singida Fountain Gate bao pekee ma ushindi likifungwa na Elvis Rupia dakika ya…

Read More

ADHABU KUMUHUSU MCHEZAJI WA YANGA ATAKAYEZUNGUMZIA SIMBA

KOCHA Mkuu wa Kikosi cha Yanga, Mohamed Nabi amesema amewapiga marufuku wachezaji na benchi la ufundi la timu hiyo kuzungumzia matokeo mabovu ya mahasimu wao Simba ambayo wamekuwa wakiyapata katika mechi zao za hivi karibuni na badala yake wajikite katika michezo yao na kuhakikisha wanashinda. “Nimewaambia wachezaji sitaki kusikia hata wanazungumza ishu za Simba kwani…

Read More

STAA HUYU KUTOKA LEEDS UNITED MALI YA MAN CITY

KLABU ya Manchester City, imefanikiwa kukamilisha dili la kumsajili kiungo wa Leeds United, Kalvin Phillips kwa pauni 45m.  Kiungo huyo mwenye miaka 26, katika hela yake hiyo ya usajili, pauni 42m ndiyo fedha iliyolipwa, huku pauni 3m itakuwa kwa ajili ya bonasi. Mabingwa hao wa Premier League, wamemsajili Phillips kama mbadala wa Fernandinho ambaye alidumu…

Read More

LILE PIRA DUBAI LA SAMBA LOKETO LILIPIGWA NA NYUNDO

ILIKUWA mwendo wa msako wa pointi tatu kwa timu zote mbili ambazo msimu wa 2022/23 zimekuwa zikionyeshana ubabe haswa ndani ya dakika 90. Simba inayonolewa na Kocha Mkuu, Roberto Oliviera iliyotamba kuja na pira Samba Loketo liligongwa nyundo kinomanoma na Mbeya City inayonolewa na Adallah Mubinu. Mchezo wa fungua mwaka 2023 kwa Simba na mchezo…

Read More

AZAM FC YAREJEA CHIMBO

KIKOSI cha Azam FC kinachofundishwa na Kocha Mkuu, Yusuph Dabo kimerejea chimbo kwa maandalizi ya mechi za ushindani ndani ya Ligi Kuu Bara. Azam FC inaingia kwenye rekodi ya timu mbili ambazo zimepata ushindi mbele ya Yanga inayofundishwa na Miguel Gamondi katika mechi za ligi. Ikumbukwe kwamba Yanga ni mabingwa watetezi wamekuwa kwenye mwendo bora…

Read More