
OFISA HABARI MPYA WA SIMBA AWASHUKURU MASHABIKI
OFISA Habari wa Simba SC, Ahmed Ally amewashukuru mashabiki wa klabu hiyo kwa mapokezi mazuri waliomuonyesha mara baada ya kutangazwa kuitumikia klabu hiyo jana, Jumatatu, Desemba 4, 2022. Kupitia akaunti yake ya Instagram, Ahmed Ally ameandika; “Msemaji wa Mabingwa nimeamka salama.Kwa nafasi ambayo nimepewa nasema asante na nimefurahi kuwa hapa kwa kuwa ilikuwa ni ndoto yangu….