
MIPANGO INAHITAJIKA KIMATAIFA KUPATA MATOKEO
KUSHINDWA kupata matokeo kwenye mechi moja ugenini haina maana kwamba kazi imekwishwa na hakuna uwezo wa kupata ushindi kwa mechi zijazo hapana. Ipo wazi kwamba ilikuwa kazi kubwa kusaka pointi ugenini mwisho wa siku wawakilishi wetu kwenye mashindano ya kimataifa wakapata pointi moja kati ya sita ambazo walikuwa wanazisaka. Makosa yapo na nina amini kwamba…