
YANGA WABAINISHA WAZI KWAMBA HAWARIDHISHWI NA MAAMUZI YA WAAMUZI
UONGOZI wa Yanga, leo Februari 8,2022 unebainisha kuwa mwendo wa Ligi Kuu Bara katika mechi za ligi umeweka wazi kwamba hauridhishwi na mwendo wa waamuzi. Akizungumza na Waandishi wa Habari, Mkuu wa Idara ya Habari Yanga,Hassan Bumbuli amesema kuwa mwendo wa waamuzi umekuwa hauridhishi katika baadhi ya mechi. Bumbuli pia alibainisha kwamba kumekuwa na tofauti…