
NABI AKOMAA KUUNDA PACHA MPYA YA MAYELE
IMEELEZWA kuwa Kocha Mkuu wa Yanga raia wa Tunisia, Nasreddine Nabi, usiku na mchana anapambana kutengeneza uwiano wa Fiston Mayele, Heritier Makambo na Yusuf Athumani ili aweze kuwatumia pamoja. Licha ya Yanga kuendelea kuwa kileleni mwa msimamo wa Ligi Kuu Bara, ikiwa na pointi zake 36, ambazo imezikusanya baada ya kucheza mechi 14, imefunga mabao…