
MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA SPOTI XTRA ALHAMISI
MUONEKANO wa ukurasa wa mbele gazeti la Spoti Xtra Alhamisi
MUONEKANO wa ukurasa wa mbele gazeti la Spoti Xtra Alhamisi
KIUNGO wa Yanga inayonolewa na Kocha Mkuu, Nasreddine Nabi, Dickson Ambundo amesema kuwa wapo tayari kwa ajili ya mchezo wao wa ligi dhidi ya Mtibwa Sugar. Yanga wana kazi ya kusaka pointi mbele ya Mtibwa Sugar ambao watakuwa kwao huku wakiwa na kumbukumbu ya kuishuhudia Simba ikitoka suluhu ilipokwenda kucheza huko hivi karibuni. Katika msimamo…
MWEKEZAJI katika Klabu ya Simba, Mohammed Dewji, ‘Mo’ amesema kilicho mpeleka kambini leo ni mapenzi yake kwa Simba na amekutana na viongozi wachezaji kwa ajili ya kuwapa hamasa kuelekea mchezo dhidi ya ASEC ya Ivory Coast. Mo ameweka wazi kuwa malengo makubwa kwa Simba ni kuweza kuona inafanya vizuri kitaifa na kimataifa kwa kubeba makombe…
KIMATAIFA kazi inarudi ndani ya Uwanja wa Mkapa kwa Simba kuwa na kazi ya kusaka ushindi mbele ya ASEC Mimosas ya Ivory Coast. Waliobaki kuiwakilisha Tanzania ni Simba ambao walikuwa na nafasi ya kutiga hatua ya makundi kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika. Haikuwa rahisi kutokana na kujiamini kupita kiasi kwa Simba baada ya kuweza kufanya…
UTAZAME muonekano wa Uwanja wa Bunju Complex 2022 ambao ni wa nyasi za asili pia huwa unatumika kwa ajili ya mecho za Ligi ya Wanawake Tanzania ugumu wake upo kwenye vyumba vya kubadilishia nguo bado havijajengwa kwa sasa.
UONGOZI wa Simba umeweka wazi kuwa mpaka sasa haujapokea barua ya mchezaji wao Bernard Morrison kama ambavyo alielekezwa kufanya hivyo kabla ya kusimamishwa. Februari 4,2022 Simba ilitoa taarifa rasmi ya kumsimamisha Morrison kwa kile kilichoelezwa kuwa ni sababu ya utovu wa nidhamu. Ofisa Habari wa Simba,Ahmed Ally amesema:”Tulimsimamisha Morrison kutokana na tuhuma za nidhamu ambazo…
MOHAMED Salah, staa wa timu ya taifa ya Misri amewasisitiza wachezaji wenzake kwamba watakwenda kulipiza kisasi mbele ya Senegal. Ikumbukwe kwamba Salah alikuwa kwenye kikosi cha Misri kilichotinga fainali ya Afcon 2021 na kupoteza kwa kufungwa kwa penalti 4-2 baada ya dakika 120 kumeguka mazima. Ni Sadio Mane wa Senegal ambaye alikosa penalti katika muda…
WAZIRI wa Utamaduni, Sanaa na Michezo,Mohamed Mchengerwa amesema Tanzania inatarajia kushiriki kwenye mashindano ya Kombe la Dunia baada ya kumalizika mashindano ya mwaka huu 2022 yatakayofanyika Qatar kutokana na mikakati kabambe ya maandalizi inayoendelea hivi sasa. Mchengerwa amesema hayo Februari 8, 2022 jijini Dar es Salaam kwenye halfa iliyoandaliwa na ubalozi wa Qatar, kuadhimisha siku…
Kwa muda mrefu, Kasino ya Meridianbet imekuwa ni sehemu moja yenye neno moja la kipekee – Jakipoti za Kasino! Hii hainakikomo, wameendelea kufanya hivyo hadi mwaka 2022. Sikia hii, mteja mmoja wa Kasino ya Meridianbet amejishindia €15,616 baada ya kushinda jakipoti kwenye Sloti ya Secrets of Alchemy. Mwanzo mzuri kwa mwezi Februari! Hii ni maana…
MUONEKANO wa ukurasa wa mbele gazeti la Championi Jumatano, lipo mezani
MCHAMBUZI wa masuala ya michezo na mwandishi Oscar Oscar ambaye alikuwa mgombea wa nafasi ya Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania, (TFF) kwa uchungu amezungumzia GSM ambao walikuwa ni wadhamini wa Ligi Kuu Bara kujiondoa kwenye udhamini mwenza wa ligi, pia amezungumzia suala la usela.
UONGOZI wa Yanga, leo Februari 8,2022 unebainisha kuwa mwendo wa Ligi Kuu Bara katika mechi za ligi umeweka wazi kwamba hauridhishwi na mwendo wa waamuzi. Akizungumza na Waandishi wa Habari, Mkuu wa Idara ya Habari Yanga,Hassan Bumbuli amesema kuwa mwendo wa waamuzi umekuwa hauridhishi katika baadhi ya mechi. Bumbuli pia alibainisha kwamba kumekuwa na tofauti…
MKONGWE katika masuala ya Uandishi wa Habari za Michezo Saleh Jembe amebainisha kuhusu suala la mchezaji wa Simba, Bernard Morrison ambaye kwa sasa amesimamishwa ndani ya kikosi cha Simba kwa kile kilichoelezwa kuwa ni utovu wa nidhamu.
KOCHA Msaidizi wa Simba, Seleman Matola, amefunguka kuwa benchi la ufundi la klabu hiyo halijaridhishwa na mwenendo wa ufungaji mabao ndani ya kikosi chao na tayari wamekaa na mastraika wa kikosi hicho kuangalia namna ya kumaliza tatizo hilo. Simba msimu huu wamekuwa na changamoto kubwa kwenye safu ya ushambuliaji mpaka sasa wametupia mabao 16 kwenye…
MUONEKANO wa ukurasa wa mbele gazeti la Spoti Xtra Jumanne
NASREDDINE Nabi, Kocha Mkuu wa Yanga, yenye pointi 36 ikiwa nafasi ya kwanza kwenye ligi kuu, amesema kuwa waliwazidi wapinzani wao Mbeya City walio na pointi 23 kwenye kila kitu ndani ya dakika 90, kasoro kuwafunga tu ndio walishindwa. Uwanja wa Mkapa Februari 5, ubao ulisoma Yanga 0-0 Mbeya City ambapo jitihada za Fiston Mayele…
Soka la kitaa linaendelea kuwa fursa kwa vijana na chachu ya ushirikiano. Meridianbet Mkuchu Cup imechukua taswira hii kwa vijana kutoka maeneo mbalimbali ya kata ya Kunduchi na sehemu mbalimbali za Dar es salaam. Meridianbet Mkuchu Cup ilianza kwa kushirikisha jumla ya timu 20 kutoka maeneo ya Mwananyamala, Mwenge, Kinondoni, Magomeni, Bunju, Tegeta, Kunduchi, Kawe,…