
JOB KUKOSA KAZI MBELE YA MABOSI WAKE
DICKSON Job, beki kitasa wa Yanga ambaye ni chaguo la kwanza la Kocha Mkuu, Nasreddine Nabi anatarajiwa kuukosa mchezo ujao wa ligi dhidi ya Mtibwa Sugar. Job aliibuka ndani ya Yanga akitokea Mtibwa Sugar ambapo huko pia alikuwa ni nahodha na chaguo la kwanza la Kocha Mkuu, Zuber Katwila ambaye alikuwa anakinoa kikosi hicho kabla…