
TWAHA ASAINI DILI LA KUPANDA ULINGONI KUZICHAPA
BONDIA wa ngumi za kulipwa nchini, Twaha Kiduku Jumanne ya Februari 15 amesaini mkataba wa kupanda ulingoni kuzichapa dhidi ya Alex Kabangu kutoka DR Congo katika pambano litakalopigwa Machi 26, mwaka huu katika Ukumbi ambao utapangwa mkoani hapa. Kiduku atapanda ulingoni kwenye pambano hilo la kimataifa baada ya kumchakaza Dullah Mbabe Agosti mwaka jana katika…