
MAPUMZIKO:ASEC MIMOSAS 2-0SIMBA
UBAO unasoma ASEC Mimosas 2-0 Simba na utulivu kwa Simba tatizo dk 14 za mwanzo walitengeneza nafasi nne zote wakakosa na ni shuti moja la Meddie Kagere lililenga lango dk ya 27. Aubin Kramo Kouame dk 16 na Stephane Aziz wamemtungua Manula ambaye aliokoa penalti dk ya 36. Simba ina kazi kubwa ya kuweza kusaka…