SIMBA KIMATAIFA INA KAZI KUBWA
WAMESHINDA katika hilo nakubali walicheza mchezo wao kwa kujituma na nyota wao akiwa ni Bernard Morrison hapo kuna jambo linapaswa kufanyiwa kazi. Kwa wale wanaopenda mpira wanajua maana ya kucheza kama timu na kucheza kwa mchezaji mmoja hapo kwa wawakilishi wetu Simba kimataifa lazima washtuke. Mchezo wao ujao dhidi ya Red Arrows sio wa kitoto…