KMC:TUPO KWENYE NAFASI MBAYA

KOCHA Mkuu wa KMC, Hitimana Thiery amesema kuwa wanachoangalia kwa sasa ni mechi zote zilizobaki kupata ushindi kwa kuwa wapo kwenye nafasi mbaya. Akizungumza na Saleh Jembe,amesema kuwa pointi 27 walizonazo sio salama licha ya kushinda mabao 3-2 dhidi ya Mtibwa Sugar. “Tulianza kucheza vizuri mwanzo na tukapata nafasi kwa kumiliki na wapinzani wetu waliweza…

Read More

SIMBA INA KAZI KUBWA KUBORESHA KILA IDARA

KWA msimu wa 2022/23 Simba imefeli kwenye kila kitu lakini wachezaji wake wamefaulu kwenye kutengeneza namba nzuri ambazo hazijawa msaada kwa Simba. Ipo wazi kuwa mchezaji mmoja anashinda mchezo na timu inashinda taji imekuwa hivyo kwa Yanga ambao wameshinda taji la Ligi Kuu Bara msimu wa 2022/23. Simba imegotea nafasi ya pili ikiwa na pointi…

Read More

HUYU HAPA CHAGUO LA KWANZA SIMBA

 KOCHA Mkuu wa Simba, Abdlehakh Benchika humwambii kitu kwa kiungo wa kazi Fabrince Ngoma ambaye hana jambo dogo kwenye majukumu yake ndani ya uwanja. Ipo wazi kuwa Simba Jnuari 13 wanatarajia kucheza fainali dhidi ya Mlandege ambapo kwenye mechi zote tano ambazo walicheza tatu za makundi, moja robo fainali na moja hatua ya nusu fainali,…

Read More

KANOUNTE,ONYANGO KUIKOSA ORLANDO PIRATES KWA MKAPA

KIUNGO wa kazi ngumu ndani ya Simba, Sadio Kanoute kesho Aprili 17 anatarajiwa kuwakosa wapinzani wao Orlando Pirates kwenye mchezo wa hatua ya robo fainali ya kwanza Kombe la Shirikisho. Sababu kubwa ya kiungo huyo mwenye bao moja kwenye hatua za makundi kuwakosa wapinzani hao ni mkusanyiko wa kadi tatu za njano ambazo alipata kwenye…

Read More

SERIKALI IAMUE MOJA TU, IZIBEBE MOJA KWA MOJA GHARAMA

KUNA kila sababu ya kusema Serikali ya Jamhuri ya Tanzania chini ya Dk Samia Suluhu Hassan inajitahidi kuonyesha inafanya jambo katika michezo nchini. Inawezekana kwa awamu kadhaa zilizopita, Serikali imekuwa ikishiriki katika michezo katika nyanja mbalimbali. Kipindi hiki kumekuwa na mabadiliko zaidi na mengi yanahusisha hamasa na kidogo usaidizi katika gharama ya timu zetu za…

Read More

LIVERPOOL WAFANYA KWELI UGENINI

LIVERPOOL imepindua meza kibabe mbele ya Southampton iliyo nafasi ya  15 na pointi 40 kibindoni. Nathaniel Redmond aliwatungua Liverpool mapema kabisa ilikuwa ni dk ya 13 kisha Takumi Minamino dk ya 27 aliweka usawa ilikuwa kwa shuti kali lililomshinda kipa kwenye mchezo huo. Dakika 45 za mchezo zilikamilika kwa timu zote kufungana bao 1-1 na…

Read More

MGUNDA KUIFANYIA KAZI SAFU YA USHAMBULIAJI

JUMA Mgunda, Kocha Mkuu wa Simba amekiri kuwa wanatengeneza nafasi nyingi kwenye mechi ambazo wanacheza lakini tatizo lipo kwenye kuzitumia nafasi jambo ambalo linafanyiwa kazi.  Safu ya ushambuliaji imetupia mabao 19 na kinara ni Moses Phiri mwenye mabao matano na pasi mbili za mabao. Kwenye mchezo wa ligi dhidi ya Singida Big Stars,Phiri alikosa nafasi…

Read More

HAWA HAPA WATATU WANAWANIA TUZO YA KIUNGO BORA

NYOTA watatu wanawania tuzo ya kiungo bora kwa msimu wa 2021/22 ambazo zinatarajiwa kufanyika Julai 7,2022 baada ya ligi kukamilika. Mabingwa wameshajulikana ambao ni Yanga waliotwaa ubingwa baada ya kufikisha pointi 74 walipocheza mechi 30. Viungo wote watatu kwa mujibu wa orodha iliyotolewa na Bodi ya Ligi Tanzania ni mali ya Yanga ambapo ni Feisal…

Read More

AZAM FC YATAJA SABABU YA KICHAPO

KALI Ongala, Kaimu Kocha Mkuu wa Azam FC amesema kuwa walikwama kushinda mbele ya Yanga kutokana na kushindwa kuwa makini. Azam FC jana Desemba 25 ilinyooshwa mbele ya Yanga kwenye mchezo wa ligi na kuyeyusha mazima pointi tatu. aada ya dakika 90 ubao ulisoma Azam FC 2-3 Yanga ambapo bao la ushindi lilifungwa na Farid…

Read More