
SIMBA KURUDI KUJIPANGA UPYA KUWAKABILI BERKANE
BAADA ya kikosi cha Simba kupoteza kwa kufungwa mabao 2-0 dhidi ya RS Berkane kwenye mchezo wa Kombe la Shirikisho hatua ya makundi, Kocha Mkuu wa Simba, Pablo Franco amesema kuwa watashinda mechi ambazo watacheza nyumbani. Kichapo hicho cha mabao mawili kinaifanya Simba kubaki na pointi 4 kibindoni huku RS Berkane ikifikisha pointi 6 na…