
KIUNGO RS BERKANE AKUBALI KUCHEZA YANGA
NYOTA wa zamani wa Yanga, Tuisila Kisinda ambaye kwa sasa anacheza ndani ya kikosi cha RS Berkane ya Morocco amesema kuwa anaweza kurudi kwa mara nyingine Tanzania kucheza. Kisinda alikuwa shuhuda wa ubao wa Uwanja wa Municipal de Berkane ukisoma RS Berkane 2-0 Simba na kazi kubwa ilifanywa na wachezaji wa timu ya RS Berkane…