
MAYELE MWENDO WA MOJAMOJA BONGO
FISTON Mayele mzee wa kutetema dozi yake anayotoa kwa kuwatungua wapinzani wake ni mwendo wa mojamoja kwa kuwa hakuna timu ambayo ameifunga mabao Zaidi ya mawili. Akiwa ametupia mabao 7 ni KMC walianza kutunguliwa na langoni alikuwa amekaa Faroukh Shikalo kwenye mchezo uliochezwa Uwanja wa Majimaji,Songea. Azam FC ilikuwa timu ya pili kufungwa kisha ikafuata…