
UWANJA WA MKAPA WAFUNGIWA, SIMBA HATIHATI KUCHEZA KIMATAIFA
SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Afrika, (CAF) limeufungia Uwanja wa Benjamin Mkapa kwa muda kutokana na eneo la kuchezea kuendelea kupungua ubora wake hivyo kuna hatihati ikiwa maboresho hayatakamilika mapema wawakilishi wa Tanzania kwenye anga la kimataifa Simba kutoutumia uwanja huo. Taarifa iliyotolewa na TFF imeeleza kuwa CAF imeelekeza eneo hilo liboreshwe haraka kufikia viwango…