
KIKOSI CHA SIMBA DHIDI YA DODOMA JIJI HIKI HAPA, ATEBA BENCHI
KIKOSI cha Simba dhidi ya Dodoma Jiji kipo namna hii:- Ally Salim, Duchu, Mohamed Hussen, Chamou, Hamza Jr, Yusuph Kagoma. Kibu Dennis, Fabrince Ngoma, Steven Mukwala, Jean Ahoua, Ellie Mpanzu hawa wataanza kikosi cha kwanza. Kocha Mkuu wa Simba, Fadlu Davids kwenye eneo la ushambuliaji ameanza na Mukwala huku mtambo mwingine wa kazi Ateba ukianzia…