
YANGA KUKIPIGA NA WAGOSI WA KAYA COASTAL UNION KMC COMPLEX
YANGA leo Machi 12, 2025 itakutana na Coastal Union katika hatua ya 32 bora ya Kombe la Shirikisho la CRDB. Mchezo huu utachezwa saa 10:00 jioni katika Uwanja wa KMC Complex jini Dar. Yanga SC, mabingwa watetezi wa michuano hii, wanatarajia kuendeleza rekodi yao nzuri dhidi ya Coastal Union. Katika rekodi za nyuma, timu hizi…