
SIMBA, KAIZER CHIEFS NDANI YA VITA NZITO YA STRAIKA WA YANGA
INAELEZWA Klabu ya Simba na Kaizer Chiefs ya nchini Afrika Kusini zimepiga hodi Singida Black Stars FC, kwa ajili ya kuulizia uwezekano wa kumpata mshambuliaji Mghana Jonathan Sowah, 25. Nyota huyo hivi karibuni alitajwa kuwepo katika mazungumzo na Yanga kwa ajili ya kuipata saini yake katika msimu ujao, ambaye anatajwa hapo Singida BS anafanya kama…