
MAVAMBO AMALIZA SAFARI YAKE SIMBA SC, ATOA UJUMBE WA KUAGA
Kiungo fundi wa kimataifa, Debora Fernandes Mavambo (24), mwenye uraia pacha wa Congo-Brazzaville na Gabon, ameaga rasmi klabu ya Simba SC, takribani mwaka mmoja tu tangu asajiliwe kwa mkataba wa miaka mitatu akitokea Mutondo Stars ya Zambia. Mavambo ambaye anachezea timu ya taifa ya Gabon, ametangaza kuondoka kwake kupitia ujumbe wa kuushukuru uongozi na mashabiki…