KIKOSI CHA RS BERKANE DHIDI YA SIMBA SC

RS Berkane kutoka Morocco itakuwa Uwanja wa New Amaan Complex kwenye mchezo wa fainali ya pili Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Simba SC ya Tanzania, saa 10:00 jioni. Hiki hapa kikosi cha kwanza ambacho kinatarajiwa kuanza kipo namna hii:-  Munir El Kajoui  Hamza Moussaoui  Adil Tahif  Yassine Lebhiri  Issoufou Dayo  Mamadou Camara  Youssef Mehri…

Read More

Maliza Msimu Ukiwa Milionea Leo

Kama kawaida leo hii ni siku ya kutusua na wakali wa ubashiri Meridianbet ambapo leo hii odds za kijanja zinapatikana hapa. Suka jamvi lako la ushindi na unufaike leo. Ligi kuu ya Hispania LALIGA leo hii kuna mechi 3 za kubashiri, Girona atamleta kwake Atletico Madrid ambao wapo nafasi ya 3. Wenyeji wao wapo nafasi…

Read More

GATES OF OLYMPIA SASA LIVE KWENYE MERIDIANBET – HII SI KAWAIDA, NI FURSA YA KISHINDO!

Meridianbet, kinara wa michezo ya kubahatisha nchini Tanzania, imezindua rasmi mchezo mpya wa kipekee unaoitwa GATES OF OLYMPIA, mchezo ambao umewasha moto Ulaya na sasa umefika Tanzania kupitia jukwaa lako pendwa, Meridianbet! ⚡ NI NANI ATAKAYEPITA KATIKA MILANGO YA OLYMPIA NA KUSHINDA MAMILIONI? Mchezo huu unakupeleka katika ulimwengu wa Miungu wa Kigiriki ambapo mungu wa…

Read More

MERIDIANBET YAFANYA MAGEUZI KIMYA KIMYA: MIRADI 80 YA UENDELEVU YATEKELEZWA NDANI YA MIEZI MITATU TU YA 2025

Kwa ushirikiano wa karibu na jamii, kampuni ya michezo ya kubahatisha ya Meridianbet yajikita katika kulinda mazingira na kuleta mabadiliko halisi. Katika kipindi ambacho changamoto za mazingira zinaendelea kukua, kampuni ya michezo ya kubahatisha Meridianbet imethibitisha kuwa maendeleo ya biashara hayawezi kuendelea bila kuzingatia ustawi wa jamii na mazingira. Ikiwa sehemu ya Golden Matrix Group…

Read More

YANGA SC WANAUTAKA UBINGWA WAO

MABINGWA watetezi wa CRDB Federation Cup, Yanga SC wamebainisha kuwa mpango mkubwa ni kutwaa taji hilo kwa mara nyingine kutokana na uimara wa kikosi walichonacho. Yanga SC imeandika rekodi ya kutinga fainali ya CRDB Federation Cup mara tano ikiwa ni timu ambayo imekuwa kwenye mwendelezo mzuri katika kuandika rekodi kali ambazo bado hazijavunjwa. Ipo wazi…

Read More

NYOTA MWINGINE YANGA SC KUSEPA

BAADA ya kiungo mshambuliaji wa Yanga SC Aziz Ki taarifa kueleza kuwa anaondoka ndani ya kikosi hicho kuelekea Wydad inaelezwa kuwa kuna nyota mwingine tena anaondoka katika kikosi hicho. Aziz Ki amekuwa kwenye mwendo mzuri ndani ya Yanga SC akiwa kacheza jumla ya mechi 114 na kutoa pasi 57 za mabao huku akifunga jumla ya…

Read More

Meridianbet Inakupa Nafasi ya kuibuka bingwa leo

Siku ya kupiga mzigo wa maana iemefika. Odds kibao na machaguo zaidi ya 1000 zinapatikana leo. Weka jamvi lako na ubashiri hapa. SUPER LEAGUE pale Uswizi inatarajiwa kuendelea ambapo Yverdon-Sport atamualika kwake FC Zurich ambao wanashika nafasi ya 7 na mwenyeji wake nafasi ya 12. Meridianbet wameipa mechi hii ODDS 2.15 kwa 3.05. Jisajili hapa. Wakati kwa upande wa Grasshoper  Club Zurich yeye…

Read More

AZIZ KI REKODI ZAKE BONGO BALAA

AZIZ Ki kiungo mshambuliaji wa Yanga SC rekodi zake ndani ya timu hiyo ni balaa kutokana na kuwa miongoni mwa nyota waliotoa pasi nyingi za mabao kwenye mechi za ushindani akiwa na jezi namba 10. Ki ndani ya kikosi cha Yanga SC rekodi zinaonyesha kuwa ni mechi 114 alicheza akitoa jumla ya pasi 57 na…

Read More