
TFF YATANGAZA ORODHA YA AWALI YA WAGOMBEA URAIS NA KAMATI YA UTENDAJI
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limetoa orodha ya awali ya waliochukua na kurudisha fomu kuomba uongozi katika Shirikisho hilo kwa nafasi za Urais na nafasi ya Wajumbe wa Kamati ya Utendaji. Waliorudisha fomu hizo ni Ally Mayay Tembele, Ally Thabit Mbingo, Mbette Mshindo Msolla, Mustapha Salumu Himba, Shija Richard Shija na Wallace John…