
RATIBA YA LIGI KUU BARA LEO
NI mzunguko wa pili unaendelea na mechi mbili zinatarajiwa kuchezwa leo Machi 4,2022. Kagera Sugar v Namungo FC, Uwanja wa Kaitaba hii itapigwa saa 10:00 jioni. Simba SC v Biashara United, Uwanja wa Mkapa hii itapigwa saa 1:00. Kagera Sugar imetoka kupoteza mchezo wake mbele ya Yanga kwa kufungwa mabao 3-0 Uwanja wa Mkapa hivyo…