AGUERO:NIMEAMUA KUACHA MPIRA KWA SABABU YA AFYA YANGU
MSHAMBULIAJI wa Barcelona, Sergio Aguero mwenye miaka 33 ametangaza kustaafu soka kwa wakati huu kutokana na tatizo la moyo na amesema kuwa maamuzi hayo ni kwa ajili ya afya. Aguero alianza kupata maumivu katika mchezo uliokamilka kwa sare ya kufungana bao mojamoja kati ya Barcelona dhidi ya Alaves ilikuwa ni Oktoba 2021. Ikumbukwe kwamba Aguero…