
VIDEO:NYONI:TUNA IMANI TUTAPATA POINTI TATU
KIRAKA wa kikosi cha Simba kinachonolewa na Kocha Mkuu, Pablo Franco, Erasto Nyoni amesema kuwa wana imani ya kupata pointi tatu kwenye mchezo wa Kombe la Shirikisho dhidi ya RS Berkane unaotarajiwa kuchezwa Jumapili, Uwanja wa Mkapa.