
NABI AZIPIGIA HESABU POINTI ZA AZAM FC
KOCHA Mkuu wa Yanga, Nasreddine Nabi, amefunguka kuwa, mipango yao ni kuhakikisha wanafanya vizuri katika mchezo ujao dhidi ya Azam kutokana na kuwa na malengo ya kuchukua ubingwa msimu huu licha ya kuandamwa na wimbi la majeruhi. Aprili 6, mwaka huu, Yanga inatarajiwa kucheza dhidi ya Azam katika mchezo wa Ligi Kuu Bara unaotarajiwa kupigwa…