
YANGA WAIVUTIA KASI AZAM FC,KUCHEZA CHAMAZI
HAJI Manara, Ofisa Habari wa Yanga amesema kuwa wapo tayari kwa ajili ya mechi zao zote za kwenye ligi ikiwa ni pamoja na mchezo wao dhidi ya Azam FC. Yanga inaongoza ligi ikiwa na pointi 48 baada ya kucheza mechi 18 inatarajiwa kukutana na Azam FC Aprili 6, Uwanja wa Azam Complex. Manara amesema kuwa…