
ONYANGO AINGIA ANGA ZA WASAUZI
VIGOGO wa soka kutoka Afrika Kusini, Orlando Pirates wametajwa kuwa bado kwenye mpango wa kumsajili beki wa kati wa Simba raia wa Kenya, kwa ajili ya Kuimarisha kikosi chao kwa msimu ujao . Onyango anatarajia kumaliza mkataba wake ndani ya Simba mwishoni mwa msimu huu, ambapo Orlando wanajipanga kutumia nafasi hiyo kumsajili kama mchezaji huru,…