
HII HAPA RATIBA YA LIGI NAMBA NNE KWA UBORA
VINARA wa Ligi Kuu Tanzania Bara ambayo ni namba nne kwa ubora Yanga watakuwa kazini kwenye msako wa pointi tatu dhidi ya Singida Black Stars, Uwanja wa KMC Complex kwenye msako wa pointi tatu. Timu zote mbili zimeweka wazi kwamba hesabu kubwa ni kupata pointi tatu, ukiweka kando mchezo huo kuna mchezo mwingine utakaowakutanisha wababe…