FISTON MAYELE KIMATAIFA KATUPIA, KAZI NYINGINE INAFUATA

MSHAMBULIAJI Fiston Mayele kwenye anga za kimataifa ni mabao 7 katupia katika mechi tatu za ushindani ambazo Yanga imecheza. Mayele amefunga mabao hayo kwenye mchezo dhidi ya Zalan FC ya Sudan katika mechi mbili ni mabao sita aliwafunga, mchezo wa kwanza alifunga mabao matatu na ule wa pili alifunga mabao matatu. Yanga ilitinga raundi ya…

Read More

ONANA WA SIMBA ATAJA SIRI YA MAFANIKIO

WILLY Onana kiungo mshambuliaji wa Simba amesema ushirikiano mkubwa kutoka kwa wachezaji wenzake ndani ya kikosi ni sababu iliyowapa nguvu wakashinda. Kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika uliochezwa Uwanja wa Mkapa, Desemba 19 baada ya dakika 90 ubao ulisoma Simba 2-0 Wydad Casablanca na mabao yote yalifungwa na Onana. Onana alifunga mabao hayo akitumia…

Read More

SIMBA YAFUNGUKIA USAJILI WA KI AZIZ

UONGOZI wa Simba umeweka wazi kwamba suala la mchezaji wa ASEC Mimosas Aziz KI kuweza kusajiliwa na timu hiyo litafanyiwa kazi ikiwa kutakuwa na ulazima wa kufanya hivyo. Imekuwa ikitajwa kwamba mshambuliaji huyo ambaye aliweza kumtungua kipa namba moja wa Simba, Aishi Manula nje ndani yupo kwenye rada za mabingwa hao watetezi. Pia habari zilikuwa…

Read More

MABAO SITA YAKUSANYWA KWENYE MECHI TATU

MABAO 6 yalikusanywa kwenye mechi tatu za Ligi Kuu Bara zilizochezwa Oktoba 4,2022 katika msimu wa 2022/23. Mchezo uliokusanya mabao mengi ulikuwa ni ule Ruvu Shooting 1-2 Yanga ikiwa ni mabao matatu kwenye mchezo mmoja. Watupiaji kwenye mchezo huo ni Feisal Salim dakika ya 52 na Bakari Mwamnyeto dakika ya 71 lile la Ruvu Shooting…

Read More

MAYELE KUPEWA ZAWADI KUBWA AKIWAFUNGA SIMBA

MJUMBE wa Kamati ya Wazee ya Klabu ya Simba, Said Muchacho, amemuahidi kumpatia zawadi ya mbuzi mshambuliaji wa Yanga, Fiston Mayele kama atafanikiwa kuifunga Simba katika michezo inayofuata ambayo watakutana. Ahadi hiyo imekuja ikiwa ni siku chache baada ya shabiki mmoja wa Yanga kutoka Morogoro kumpa Mayele ng’ombe baada ya kufunga bao dhidi ya Mtibwa…

Read More

AZAMKA KUNOGESHWA NA RAYVANNY

UONGOZI wa Azam FC umeweka wazi kuwa tamasha la AZAMKA ambalo ni maalumu kwa ajili ya utambulisho wa wachezaji wao wapya ni maalumu kwa ajili ya mashabiki. Kesho Agosti 14 Azam FC inatarajiwa kufanya tamasha lao la kipekee ambapo waandaaji watakuwa ni mashabiki wenyewe kwenye mipango kazi yote. Ofisa Habari wa Azam FC,Zakaria Thabit amesema…

Read More

NYOTA YANGA NA OFA KIBAO MEZANI

INAELEZWA kuwa nyota wa Yanga ambaye ni chaguo la kwanza ndani ya benchi la ufundi la timu hiyo ana ofa kibao mezani kwa timu mbalimbali kuwania saini yake. Ni Clement Mzize anatajwa kuwa na ofa zaidi ya tatu mezani kwa timu kubwa barani Afrika kuhitaji saini yake kutokana na mwendelezo wake ndani ya uwanja kwenye…

Read More

KIKOSI CHA SIMBA KITAKACHOANZA LEO DHIDI YA KMC

HIKI hapa kikosi cha Simba kinachonolewa na Kocha Mkuu, Pablo Franco kinachotarajiwa kuanza dhidi ya KMC, mchezo wa Ligi Kuu Bara, Uwanja wa Ali Hassan Mwinyi, Tabora:- Aishi Manula Kapombe Shomari Hussein Mohamed Onyango Joash Henock Inonga Mkude Jonas Sakho Mzamiru Kagere Meddie Kibu Dennis Bwalya   Akiba Beno Gadiel Wawa Abdulsamad Dilunga Ajibu Mugalu…

Read More

MWAMBA AZIZ KI ANA TUZO YAKE MKONONI

MWAMBA Aziz Ki ndani ya msimu wa 2023/24 alifunga jumla ya mabao 21 katika Ligi Kuu Bara ndani ya uwanja akiwa na tuzo yake mkononi kwa sasa ambayo ni ile ya mfungaji bora. Ki ni namba moja kwa watupiaji wa mabao ndani ya ligi alipofunga jumla ya mabao 21 kati ya 71 na alitoa pasi…

Read More

BOSI SIMBA: MANZOKI NDIYO, BOBOSI HAPANA

MENEJA wa Habari na Mawasiliano wa Simba, Ahmed Ally amefichua ni kweli kuna mipango inafanyika kumhusu Cesar Lobi Manzoki raia wa DR Congo, lakini akaweka wazi kuwa mpaka sasa hakuna lolote kati yao na Bobosi Byaluhanga raia wa Uganda. Manzoki na Bobosi wamekuwa kwenye rada za Simba tangu kipindi cha usajili wa dirisha kubwa ambapo…

Read More

Cheza na Ushinde Book of Egypt Kasino

Nchi ya Misri ni miongoni mwa mataifa yenye mchango mkubwa katika historia ya mambo ya kale, unapozungumzia historia ya Pyramids, Maandishi ya kale na historian a visa vya kidini. Kiufupi Misri imebeba utalii wa kidunia.   Kwa wapenzi wa kasino ya mtandaoni ya Meridianbet, kuna mchezo bomba wa kasino unaitwa Book of Egypt unaelezea mambo…

Read More