JIONEE PICHA AJIB AKIWA MAZOEZINI AZAM, KUKIWASHA LEO
Kiungo mshambuliaji mpya wa Azam FC, Ibrahim Ajib @ibrahimajibu23, akifanya mazoezi ya kwanza na uzi wa timu hii. Azam FC ipo Unguja, Zanzibar kwa ajili ya michuano ya Kombe la Mapinduzi, na leo asubuhi imefanya mazoezi ya mwisho kabla ya leo Jumanne kumenyana na Meli Nne City kwenye Uwanja wa Amaan saa 2.15 usiku.