
SIMBA WAANZA KUPIGA MATIZI UPYA
WAWAKILISHI wa Tanzania kwenye mashindano ya kimataifa Simba chini ya Kocha Mkuu, Pablo Franco wameanza mazoezi ili kuweza kujiweka sawa kwa mechi zijazo za Ligi Kuu Bara pamoja na zile za kimataifa. Machi 13,2022 Uwanja wa Mkapa baada ya dakika 90 kukamilika ubao ulisoma Simba 1-0 RS Berkane na kuwafanya Simba kubaki na pointi tatu…