KARIAKOO DABI MAKOSA YA KIBINADAMU YASIPEWE NAFASI

LIGI ya Wanawake Tanzania inazidi kuwa na ushindani mkubwa kutokana na kila timu kufanya kazi kubwa kusaka ushindi. Unaona kwamba msimu huu mpaka sasa bado hakuna timu ambayo imejihakikishia nafasi ya kutwaa ubingwa kutokana na mipango kazi ambayo inafanywa. Kwa sasa hilo ni jambo ambalo linapaswa kuendelea kupewa uangalizi na umakini hasa kwa kuboresha mazingira…

Read More

MKATABA WA GSM NA TFF UNACHUNGUZWA

TUME ya Ushindani wa Biashara (FCC) imesema imepokea malalamiko kutoka kwa wadau wa mpira wakiitaka kuchunguza udhamini uliofanywa na kampuni ya GSM kwa Ligi Kuu ya NBC kama hautaathiri ushindani wa soka nchini.   Wadau hao wamewasilisha malalamiko yao kwa maandishi ndani ya tume hiyo Jumatatu ya Novemba 29, 2021 wiki hii kwa mujibu wa…

Read More

UMAKINI HAUKWEPI MUDA WA MAVUNO

MAVUNO yanaongeza tabasamu hasa kila kitu kinapokwenda sawa ila inapokuwa tofauti hakuna ambaye anapata furaha katika hilo. Wahusika ni wote kuanzia mabingwa wa ligi ambao ni Yanga nao wana jukumu la kuongeza umakini kwenye usajili pamoja na maandalizi ya msimu ujao. Singida Fountain Gate nao inawahusu bila kuwasahau Namungo mpaka Geita Gold. Maisha mapya ndani…

Read More

KMC WALIPA KISASI MBELE YA POLISI TANZANIA

KMC leo imelipa kisasi mbele ya Polisi Tanzania kwa kuwatungua mabao 3-0 na kusepa na pointi tatu mazima. Katika mchezo wa mzunguko wa kwanza walipokutana Uwanja wa Karatu, ubao ulisoma Polisi Tanzania 2-0 KMC na kuwafanya waweze kusepa na pointi tatu mazima. Katika mchezo wa leo uliochezwa Uwanja wa Azam Complex, ubao umesoma KMC 2-0…

Read More

KAZI YA KWANZA KIMATAIFA HAIKAMILISHI HESABU BADO

MATOKEO ya mchezo wa kwanza hayana maana kwamba safari imegota mwisho kwa kila timu bali ni mwendelezo kwenye mchezo unaofuata. Hakika kwenye mechi za kimataifa wawakilishi wana kazi kubwa kusaka ushindi ili kupata matokeo mazuri ambayo yatawapa furaha mashabiki na Tanzania kiujumla. Kwa wakati huu kwenye hatua ya robo fainali ni mechi mbilimbili zinachezwa kwa…

Read More

AZAM FC YAWAITA MASHABAKI KUIZOMEA KMC

UONGOZI wa Azam FC umewaita mashabiki kujitokeza kwa wingi Uwanja wa Azam Complex leo kuwazomea wapinzani wao KMC ili kuwamaliza mapema kwenye mchezo wa ligi. Timu hiyo ikiwa imetoka kuambulia kichapo cha bao 1-0 dhidi ya Kagera Sugar,leo ina kibarua cha kusaka pointi tatu mbele ya KMC FC.  Ofisa Habari wa Azam FC, Zakaria Thabit…

Read More

HUYU HAPA SIMBA KUMTUMIA KIMATAIFA

BAADA ya kushuhudia kikosi chake kikipangwa kuvaana na Al-Ahly katika mchezo wa robo fainali ya Kombe la African Football League, kocha mkuu wa Simba Mbrazil, Robert Olivieira ‘Robertinho’ amefunguka uwepo wa Luis Miquissone ambaye amewahi kuichezea Al Ahly ni faida kubwa kwao katika kupata baadhi ya mbinu za kuwamaliza. Simba leo ina kibarua cha kusaka…

Read More

BARCELONA YAISAKA SAINI YA LEWANDOWSKI

IMEELEZWA kuwa Klabu ya Barcelona inaisaka saini ya staa Robert Lewandowski ambaye ni mshambuliaji ili kuweza kuwa naye kwa msimu ujao ndani ya kikosi hicho. Lewa ni moja ya mastaa ambao wana ushkaji mkubwa na kucheka na nyavu alikuwa anatajwa pia kuwindwa na Manchester United. Staa huyo wa Klabu ya Bayern Munich mkataba wake umesalia…

Read More

MIKONO YA KIPA WA COASTAL UNION MOTO MKALI

MIKONO ya kipa namba moja w Coastal Union, Ley Matampi ilikuwa ni moto wa kuotea mbali kutokana na kuokoa hatari za wapinzani wao Yanga. Licha ya ubao wa Uwanja wa Azam Complex kusoma Yanga 1-0 Coastal Union, kipa Matampi alifanya kazi kubwa kwenye kutimiza majukumu yake. Miongoni mwa nyota ambao walifanya majaribio makubwa kwenye kumtungua…

Read More