
UKIJICHANGANYA UNAPOTEZWA,LEO ZITAPIGWA MECHI KALI
UKIVURUGA hesabu kwa sasa machungu yanakuwa ni yako mazima kwa kuwa hili ni duru la utimilifu wa yale ambayo yalianza kuundwa mzunguko wa kwanza. Kuna mechi kali mbili leo zinatarajiwa kuchezwa moja ni ile itakayochezwa Uwanja wa Manungu kati ya Mtibwa Sugar v Kagera Sugar na KMC v Namungo,timu zote zipo kwenye msako wa pointi…