
KOCHA AZAM FC AKUBALI MUZIKI WA YANGA
KOCHA Mkuu wa Klabu ya Azam Abdi Hamid Moallin amekubali ubora wa kikosi cha Yanga na kuweka wazi kwamba anaandaa mbinu ili kuwakabili vinara wa Ligi Kuu Bara. Moallin amesema kuwa anatambua kwamba wameachwa kwa pointi nyingi na wapinzani hao ambao wanaongoza ligi kwa wakati huu. “Ninatambua kwamba Yanga ni timu imara na inaongoza ligi…