
KIBWANA,SAIDO BADO HAWAJAPEWA MIKATABA
WAKATI wachezaji Kibwana Shomari na Saido Ntibazonkiza wakiwa wanafanya vyema ndani ya Yanga, habari mbaya zaidi kwa upande mwingine ni kuwa wachezaji hao bado hawajapewa mikataba mipya huku ile ya awali ikiwa inatamatika hivi karibuni. Saido na Kibwana, wote wamekuwa katika sehemu ya kikosi cha kwanza cha timu hiyo cha kocha mkuu Mtunisia, Nasreddine Nabi,…