
AZAM FC YAIMALIZA KMC,YAKWEA PIPA
BAADA ya ushindi wa mabao 2-1 ambayo waliyapata jana Mei 7,2022 kwenye mchezo wa ligi dhidi ya KMC leo Mei 8 kikosi cha Azam FC kimekwea pipa kuelekea Mbeya. Mabao mawili ya Rodgers Kola yalitosha kuipa pointi tatu Azam FC kwenye mchezo wa ligi uliochezwa Uwanja wa Azam Complex. Kwa KMC ni bao la nyota…