
SIMBA YASIMULIA MATESO YA DAKIKA 270
SELEMAN Matola,Kocha Msaidizi wa Simba amesema kuwa wamekuwa kwenye mwendo usiofurahisha kwenye mechi tatu mfululizo jambo wanalolifanyia kazi. Kwenye mechi hizo tatu za ligi ambazo ni dakika 270 katika msako wa pointi 9 waliambulia pointi tatu pekee na kuacha mazima pointi 6 ambazo ni mateso kwao huku wakifungwa mabao mawili sawa na yale ambayo walifunga….