
SARE ZAWAPA HASIRA YANGA
CEDRICK Kaze, Kocha Msaidizi wa Yanga amesema kuwa matokeo ya sare ambayo wameyapata kwenye mechi za ligi hivi karibuni hayajawatoa kwenye mstari badala yake yamewaongezea hasira ya kuzidi kupambana. Kwenye mechi mbili mfululizo za ligi mbele ya Simba na Ruvu Shooting vinara hao wa ligi waliambulia pointi mbili katika msako wa pointi 6. Akizungumza na…