
MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA SPOTI XTRA ALHAMISI
MUONEKANO wa ukurasa wa mbele gazeti la Spoti Xtra Alhamisi
MUONEKANO wa ukurasa wa mbele gazeti la Spoti Xtra Alhamisi
WAAMUZI wa mchezo wa Kombe la Shirikisho unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa CCM Kirumba tayari wamewekwa wazi leo. Ni Ahmed Arajiga kutoka Manyara atakuwa mwamuzi wa kati kuweza kusimamia sheria 17 za mchezo huo. Pia Mwamuzi msaidizi atakuwa Frank Komba na mwamuzi msaidizi namba 2 ni Mohamed Mkono huku yule wa akiba akiwa ni Elly Sasii…
ILIBIDI mataifa matatu yaungane kuifunga Yanga kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara uliochezwa juzi,Uwanja wa CCM Kirumba na kutibua rekodi ya dk 450 ya timu hiyo kutoruhusu bao. Ni pasi ya kiungo Shaban Ada ambaye huyu ni mzawa alitoa pasi kwa Ambrose Awio raia wa Uganda kisha akampa pasi Collins Opare raia wa Ghana aliyeweza…
Jina la Mayele lajadiliwa kambini Simba Na Ibrahim Mussa KOCHA Mkuu wa Simba, Pablo Franco amefichua kuwa amewaonya mabeki wa timu hiyo, wakiwemo Henock Inonga na Joash Onyango kuongeza umakini juu ya washambuliaji wa Yanga wakiongozwa na Fiston Mayele. Simba wanatarajia kucheza na Yanga katika mchezo wa nusu fainali ya Kombe la FA unaotarajia kupigwa…
PABLO Franco, Kocha Mkuu wa Simba amesema kuwa watatumia uzoefu ambao wamepata kwenye mechi za kimataifa kuweza kuwakabili Yanga kwenye mchezo wa hatua ya nusu fainali ya Kombe la Shirikisho. Yanga ilitangulia katika hatua ya robo fainali kwa ushindi mbele ya Geita Gold hivyo itakutana na Simba katika mchezo wa nusu fainali Mei 28,Uwanja wa…
STRAIKA mzawa ambaye anafanya vizuri kwa sasa kwenye Ligi Kuu Bara, George Mpole anayekitumikia kikosi cha Geita Gold, amefunga mabao 14 msimu huu. Mpole alijiunga na Geita Gold mwanzoni mwa msimu huu akiwa mchezaji huru baada ya mkataba wake na Polisi Tanzania kumalizika ambapo huko hakuwa na wakati mzuri. Spoti Xtra limefanya mahojiano na Mpole…
KWENYE upande wa ukuta taratibu Tanzania inazidi kuwa imara ambapo kwenye timu ya taifa uhakika uwepo wa Bakari Mwamnyeto,Shomari Kapombe na Mohamed Hussein huku ngoma nzito ikiwa upande wa washambuliaji. Wakati tatizo la ushambuliaji likitafutiwa tiba,kuna kijana mwingine wa kazi katika eneo la ulinzi anaitwa Dotto Shaban yupo zake ndani ya kikosi cha Tanzania Prisons….
KLABU ya Ihefu imekabidhiwa Kombe lao la ubingwa wa Championship baada ya kumalizika kwa mchezo maalumu dhidi ya DTB uliochezwa Uwanja wa Uhuru. Katika mchezo huo uliochezwa jana Mei 24, DTB iliweza kushinda bao 1-0 lakini haikuweza kutibua furaha ya mabingwa hao wanaonlewa na Kocha Mkuu, Zuber Katwila. Timu zote mbili zitashiriki Ligi Kuu Bara…
KIJANA Florian Valerian Massawe mshindi wa JACKPOT ya SportPesa ya shilingi 1,255,316,060 (bilioni 1.25) leo Mei 25 ameweka wazi mipango yake. Katika mahojiano maalum na Global Radio kwenye kipindi cha Krosi Dongo, Massawe amesema mpango wake mkubwa kwa sasa ni kuweza kuwekeza kwenye masuala ya Garage kwa kuwa yeye ni fundi na hana mpango wa…
KWA sasa kila mtu anaona namna ligi ilivyo huku kila mmoja akipambana kutimiza malengo yake binafsi pamoja na ya timu ambayo haya ni muhimu kuweza kupatikana kisha mchezaji itakuwa ni baadaye katika kufanya majukumu yake. Pongezi kubwa kwa makocha kwa msimu huu wameweza kwenda na ile kasi ambayo walianza nayo tangu mwanzo wa msimu mpaka…
LIGI Kuu ya Soka la Ufukweni inatarajiwa kuanza rasmi baada ya uchaguzi wa timu zilizoingia 8 bora kumalizika na mashindano hayo yataaza kufanyika Juni 10 katika Viwanja vya Coco Beach. Katika hizo timu zilizochaguliwa 8 bora zimepangwa katika makundi mawili kila kundi lina timu nne na kwa siku zitachezwa mechi nne ili fainali iweze kufanyika…
KUELEKEA mchezo wa Ligi Kuu Bara kati ya Tanzania Prisons dhidi ya Geita Gold ambao utapigwa kesho, Mei 26, Uwanja wa Sokoine,Mbeya, Kocha Mkuu wa Prisons, Patrick Odhiambo amesema wamejipanga vizuri kupata alama tatu. Prisons imekuwa kwenye mwendo wa kusuasua ndani ya ligi kwenye msimamo ipo nafasi ya 15 ikiwa na pointi 24 kibindoni. Mchezo…
MSHAMBULIAJI wa Klabu ya PSG, Kylian Mbappe raia wa Ufaransa amesema kuwa Liverpool walihitaji saini yake ili kuweza kumpata. Mbappe ambaye tayari ameshazima tetesi zote kwa kusaini dili jipya ndani ya PSG amesema kuwa aliwahi kuzungumza na Liverpool kwa ajili ya kuweza kucheza hapo. “Tulizungumza kidogo,(Liverpool) lakini siyo sana, tulizungumza kidogo. Mbappe amefunguka kuwa Liverpool…
MUONEKANO wa ukurasa wa mbele gazeti la Championi Jumatano
LEO Mei 24 Wachezaji wa Timu ya Taifa ya Wasichana U 17 Serengeti Girls baada ya kuwasili Uwanja wa Ndege wa Amaan Abeid Karume, Zanzibar wakitokea Cameroon walikokwenda kwenye mchezo wa kufuzu Kombe la Dunia dhidi ya Cameroon. U 17 waliweza kupeperusha vema Bendara ya Tanzania ambapo walipata ushindi wa mabao 4-1 katika mchezo huo…
SENZO Mbatha, Mtendaji Mkuu wa Yanga ametoa tamko kuhusu Simba ambao wanatarajiwa kukutana nao Mei 28,2022 kwenye mchezo wa Kombe la Shirikisho
VINARA wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Yanga wenye pointi 64 wanatarajiwa kuweka kambi mkoani Shinyanga kwa ajili ya maandalizi ya mchezo wa Kombe la Shirikisho dhidi ya Simba. Huu ni mchezo wa hatua ya nusu Fainali ya Kombe la Shirikisho ambapo mabingwa watetezi ni Simba walitwaa taji hilo walipocheza fainali na Yanga, Uwanja wa Lake…